Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta, Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Museveni, Rais wa Burundi, Mhe. Évariste Ndayishimiye pamoja na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Kikanda ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass km 42.4) katika sherehe zilizofanyika Ngaramtoni, jijini Arusha tarehe 22 Julai, 2022.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO