Kuomba leseni ya usajili kwa ajili ya Magazeti/Majarida.
Maombi yanapaswa kuambatanishwa na nyaraka zifuatazo;
• Cheti cha Usajili wa Kampuni au aina yoyote ya usajili wa kisheria
• Barua kutoka Afisa Mtendaji Mkuu
• Andiko la Mradi
• Wasifu binafsi (CV) wa Mhariri na Waandishi wa Habari na nakala za cheti vyeti vyao vya kitaaluma
• Nakala ya muonekano wa Jarida/gazeti (Dummy)
Ada ya Leseni Tsh. 1,000,000/=
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO