Mwandishi wa habari wa kigeni aliyopo nchini atatakiwa kulipa kiasi cha Dola 50. Maombi hayo yanataambatana na Nyaraka zifuatazo;
Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) katika nchi anayotoka.
Kibali cha kufanya kazi nchini.
Kibali cha kuishi nchini.
Wasifu Binafsi (CV).
Barua ya Mwajiri/Chombo cha Habari.
Nakala tatu za Picha ya Passport Size (PPS).
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO